Loading...

info_hd

Your Number #1 Source Tanzania's #1 Hottest IG Page for Entertainment, Music & Celebs News. Since:- July 24, 2015 Twitter:- InfohdTanzania
5,501 posts
57,998 followers
329 following
@info_hd - Your Number #1 Source | Trending:- 21/6/17

FUTURE APULIZA RASMI KIPENGA CHA ZIARA YAKE

Rapa FUTURE leo Jumatano ametangaza rasmi tarehe ya kwanza ambayo itafungua dimba la ziara yake, THE FUTURE HNDRXX TOUR

Ziara hiyo itaanza rasmi Julai 8, 2017 nakumalizika Oktoba 23, 2017

Jiji la Dar Es Salaam Tanzania pia limepata ubarikio wa ziara hiyo Julai 22, ambapo Future amethibitisha kudondoka kwenye Tamasha la #CastleLightUnlocks

#InfoHDNews
Trending:- 21/6/17

future apuliza rasmi kipenga cha ziara yake

rapa future leo jumatano ametangaza rasmi tarehe ya kwanza ambayo itafungua dimba la ziara yake, the future hndrxx tour

ziara hiyo itaanza rasmi julai 8, 2017 nakumalizika oktoba 23, 2017

jiji la dar es salaam tanzania pia limepata ubarikio wa ziara hiyo julai 22, ambapo future amethibitisha kudondoka kwenye tamasha la #castlelightunlocks
#infohdnews
1 126 June 2017
Comments
@dioniznoni
Wizkid ndani
Loading...