Loading...
Unatembea na Nakukimbia Sema Ahsante MUNGU Wapo Waliopooza Leo Wanatamani Kuinuka Walipolala.....Mshukuru MUNGU Kwa Kila Unalokutana nalo Mbele Yako πŸ™πŸ™ #ahsantemungukwakilajambo ASUBUHI NJEMA IG
2 275 May 2016
Unatembea na nakukimbia sema ahsante mungu wapo waliopooza leo wanatamani kuinuka walipolala.....mshukuru mungu kwa kila unalokutana nalo mbele yako πŸ™πŸ™ #ahsantemungukwakilajambo asubuhi njema ig
Muite MUNGU Kwa kila Gumu linalokuandama naamini Hatokuacha Peke Yako...Kwani Katika Kila Gumu Uweka na MLANGO Wa Kutokea πŸ™πŸ™ #ahsantemungukwakilajambo GOOD NIGHT LOVERS
4 251 May 2016
Muite mungu kwa kila gumu linalokuandama naamini hatokuacha peke yako...kwani katika kila gumu uweka na mlango wa kutokea πŸ™πŸ™ #ahsantemungukwakilajambo good night lovers
WAKATI WA MUNGU NDO WAKATI SAHII #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MalenGo
0 26 October 2017
Wakati wa mungu ndo wakati sahii #ahsantemungukwakilajambo #malengo
Yani Najisikiaga Kucheka tuu..ETI KULIKO UYO @sabrinasabrinaa69 Duh Uyu wa Sasa kiboko #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
9 20 October 2017
Yani najisikiaga kucheka tuu..eti kuliko uyo @sabrinasabrinaa69 duh uyu wa sasa kiboko #ahsantemungukwakilajambo #malengo
OMBA MUNGU KWA KILA GUMU LILILO MBELE YAKO #godlovesyou 
#ahsantemungukwakilajambo MORNING IG
3 152 May 2016
Omba mungu kwa kila gumu lililo mbele yako #godlovesyou #ahsantemungukwakilajambo morning ig
Sijui km umenielewa #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
1 12 October 2017
Sijui km umenielewa #ahsantemungukwakilajambo #malengo
Wallah Furaha Niliyo Nayo M/Mungu Pekee Ndo Anafahamu Jinsi Gani Niko Na Furaha.. Unajua ktk Maisha Yako Ya Kila Siku Kuna Vipindi Tofauti Tofauti Mwanadamu Uvipitia Ktk ile safari ya maisha.. Ok Staki Kuongea Sana.. Ila Kuna Maamuzi Mengine Moyo wako Unayafanya Mpka Unatamani Ujipe Hata Zawadi Na hata Ukiafiki kujipa Zawadi Bado Utashindwa Kujua Ujipe Zawadi Ipi ? Itakayo Endana Na Ukubwa Wa Maamuzi Au Wa Kityu Ulichokifanya SHUKLANI SANA MOYO WANGU YANI NAJISIKIA KUCHEKA TUU MIMI  Basi wacha Nicheke Then Niendelee Kuwapa Ma Pc Kidogo Ya Jinsi Gani Niko Na furaha #Oyooooooo #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
2 18 October 2017
Wallah furaha niliyo nayo m/mungu pekee ndo anafahamu jinsi gani niko na furaha.. unajua ktk maisha yako ya kila siku kuna vipindi tofauti tofauti mwanadamu uvipitia ktk ile safari ya maisha.. ok staki kuongea sana.. ila kuna maamuzi mengine moyo wako unayafanya mpka unatamani ujipe hata zawadi na hata ukiafiki kujipa zawadi bado utashindwa kujua ujipe zawadi ipi ? itakayo endana na ukubwa wa maamuzi au wa kityu ulichokifanya shuklani sana moyo wangu yani najisikia kucheka tuu mimi basi wacha nicheke then niendelee kuwapa ma pc kidogo ya jinsi gani niko na furaha #oyooooooo #ahsantemungukwakilajambo #malengo
πŸ˜‚πŸŽΌπŸ”₯ #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
0 18 October 2017
πŸ˜‚πŸŽΌπŸ”₯ #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_ramothsh

@official_ramothsh

o'tman
Ahsante Mungu kwa kunilinda mim siyo mjanja sana mpaka kufika siku hii ya leo sina mamlaka ya kukupangia chochote wapo ambao leo kama hii hajafanikiwa hata kuamka  ila jana walikuwa wazima wapo hiiv sasa ninavyoandika ujumbe huu na wao ndyo wanakata roho Mungu mimi sina ujanja kwako.
kama umefanikiwa kuiona leo sema  #ahsanteMungukwakilajambo
1 34 last month
Ahsante mungu kwa kunilinda mim siyo mjanja sana mpaka kufika siku hii ya leo sina mamlaka ya kukupangia chochote wapo ambao leo kama hii hajafanikiwa hata kuamka ila jana walikuwa wazima wapo hiiv sasa ninavyoandika ujumbe huu na wao ndyo wanakata roho mungu mimi sina ujanja kwako. kama umefanikiwa kuiona leo sema #ahsantemungukwakilajambo
ally_zonna_konde_boy

@ally_zonna_konde_boy

MTWARA BOY on fire (dingi)πŸ”₯πŸ’£πŸ”«
Mungu bila binadamu ni mungu lkn binadamu bila mungu c chochote si kitu #ahsantemungukwakilajambo
0 34 November 2017
Mungu bila binadamu ni mungu lkn binadamu bila mungu c chochote si kitu #ahsantemungukwakilajambo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
Nimeg'haili Naomba ka kwanza kawe kakike bwana Ishallah #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
0 26 October 2017
Nimeg'haili naomba ka kwanza kawe kakike bwana ishallah #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
Soma kwa Sauti ya #Kiba β–ΆNna Majina Mapya Kila Kona Wamenipa Wananiita #Limbukeni WAtu Na Majina Yetu Bwana #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
1 22 October 2017
Soma kwa sauti ya #kiba β–Άnna majina mapya kila kona wamenipa wananiita #limbukeni watu na majina yetu bwana #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
MARA PAP..!! LIMBUKENI UYU APA #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
2 20 October 2017
Mara pap..!! limbukeni uyu apa #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
Ishallah Allah Tupe Mwisho Mwema...!! Ujumbe Wa Leo Atakae Kudanganya kwa Kusema We Mdanganye Kwakuitikia #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
3 28 October 2017
Ishallah allah tupe mwisho mwema...!! ujumbe wa leo atakae kudanganya kwa kusema we mdanganye kwakuitikia #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
Wallah Furaha Niliyo Nayo M/Mungu Pekee Ndo Anafahamu Jinsi Gani Niko Na Furaha.. Unajua ktk Maisha Yako Ya Kila Siku Kuna Vipindi Tofauti Tofauti Mwanadamu Uvipitia Ktk ile safari ya maisha.. Ok Staki Kuongea Sana.. Ila Kuna Maamuzi Mengine Moyo wako Unayafanya Mpka Unatamani Ujipe Hata Zawadi Na hata Ukiafiki kujipa Zawadi Bado Utashindwa Kujua Ujipe Zawadi Ipi ? Itakayo Endana Na Ukubwa Wa Maamuzi Au Wa Kityu Ulichokifanya SHUKLANI SANA MOYO WANGU YANI NAJISIKIA KUCHEKA TUU MIMI  Basi wacha Nicheke Then Niendelee Kuwapa Ma Pc Kidogo Ya Jinsi Gani Niko Na furaha #Oyooooooo #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
2 18 October 2017
Wallah furaha niliyo nayo m/mungu pekee ndo anafahamu jinsi gani niko na furaha.. unajua ktk maisha yako ya kila siku kuna vipindi tofauti tofauti mwanadamu uvipitia ktk ile safari ya maisha.. ok staki kuongea sana.. ila kuna maamuzi mengine moyo wako unayafanya mpka unatamani ujipe hata zawadi na hata ukiafiki kujipa zawadi bado utashindwa kujua ujipe zawadi ipi ? itakayo endana na ukubwa wa maamuzi au wa kityu ulichokifanya shuklani sana moyo wangu yani najisikia kucheka tuu mimi basi wacha nicheke then niendelee kuwapa ma pc kidogo ya jinsi gani niko na furaha #oyooooooo #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
Yani Najisikiaga Kucheka tuu..ETI KULIKO UYO @sabrinasabrinaa69 Duh Uyu wa Sasa kiboko #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MALENGO
9 20 October 2017
Yani najisikiaga kucheka tuu..eti kuliko uyo @sabrinasabrinaa69 duh uyu wa sasa kiboko #ahsantemungukwakilajambo #malengo
official_msafi_89

@official_msafi_89

Official_Msafi_89
WAKATI WA MUNGU NDO WAKATI SAHII #AHSANTEMUNGUKWAKILAJAMBO #MalenGo
0 26 October 2017
Wakati wa mungu ndo wakati sahii #ahsantemungukwakilajambo #malengo
youngkanumba2

@youngkanumba2

SABURI IKAMBA
Umri unaenda majukumu yanaanza!! #HPBDY,2,mimi
#ahsantemungukwakilajambo 
#UKIONA_KAUSHA
22 84 December 2016
Umri unaenda majukumu yanaanza!! #hpbdy,2,mimi #ahsantemungukwakilajambo #ukiona_kausha
eamwbm

@eamwbm

emmanuel brown
Happy Birthday wiiiiii happy Birthday waaaa
#eamwbm
#ahsantemungukwakilajambo
7 28 June 2016
Happy birthday wiiiiii happy birthday waaaa #eamwbm #ahsantemungukwakilajambo
harmonizetz_daily

@harmonizetz_daily

SAM CHAUPOLE
Usiogope Kuwa wewe Sababu Eti Unaishi Maisha ya Kimasikini....Ogopa Kumkosea Mungu Maana ndie Aliewapa Hao Matajiri....Unapoangushwa Amka Na usimame tena,Upolizwa Futa Machozi na Utabasamu,Unapoumizwa Usilipize We Lia tu na Mungu Wako.... Inshaallah IPO Siku Maombi Yako Yatakuletea FURAHA Ambayo Haitokuwa na Mwisho Milele..... #AmproudtobePoor #Ahsantemungukwakilajambo
2 216 June 2016
Usiogope kuwa wewe sababu eti unaishi maisha ya kimasikini....ogopa kumkosea mungu maana ndie aliewapa hao matajiri....unapoangushwa amka na usimame tena,upolizwa futa machozi na utabasamu,unapoumizwa usilipize we lia tu na mungu wako.... inshaallah ipo siku maombi yako yatakuletea furaha ambayo haitokuwa na mwisho milele..... #amproudtobepoor #ahsantemungukwakilajambo
kenno_peacemaker

@kenno_peacemaker

Kenno wa Mlelandro
Wakat mwengne inafka wakat inabid umshkur mwenyez Mungu pale anapo tengeneza njia pasipo kuwa na njia.
Inafka wakat hujutii nafas ulizo zpoteza Bali unaongeza juhud ufikie fanikio ...
#ahsantemungukwakilajambo
6 83 June 2016
Wakat mwengne inafka wakat inabid umshkur mwenyez mungu pale anapo tengeneza njia pasipo kuwa na njia. inafka wakat hujutii nafas ulizo zpoteza bali unaongeza juhud ufikie fanikio ... #ahsantemungukwakilajambo
harmonizetz_daily

@harmonizetz_daily

SAM CHAUPOLE
Maadui Hujitokeza Pale Uanzapo KuFanikiwa πŸ’¬
#pray 
#ahsantemungukwakilajambo
1 168 May 2016
Maadui hujitokeza pale uanzapo kufanikiwa πŸ’¬ #pray #ahsantemungukwakilajambo