Loading...
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 20 March

Runtown aburuzwa Mahakamani kwa Makosa ya kuvunja baadhi ya makubaliano ya mkataba wake na lebo ya Eric Many.

Lebo hiyo imeamua kufanya hivyo kwa kile kilichozungumzwa na kuandikwa kwamba, Mwimbaji #Runtown amekiuka baadhi ya makubaliano; Moja alienda mjini Las Vegas January 13, 2018 na kuanzia hapo amekuwa akienda kinyume na makubaliano na Uongozi wake.

Kwa mujibu wa maelezo ya Eric Many, Staa huyo wa Nigeria amekuwa akirekodi singles na album bila ridhaa ya lebo yake. Si hivyo tu, pia amekuwa akitumbuiza maeneo mbali mbali na kuchukua viingilio bila ruhusa na ridhaa ya Lebo yake. Hii ni kwa mujibu wa kifungu namba 4.41 cha mkataba wake.

#InfoHDNews
0 154 14 hours ago
Trending: 20 march runtown aburuzwa mahakamani kwa makosa ya kuvunja baadhi ya makubaliano ya mkataba wake na lebo ya eric many. lebo hiyo imeamua kufanya hivyo kwa kile kilichozungumzwa na kuandikwa kwamba, mwimbaji #runtown amekiuka baadhi ya makubaliano; moja alienda mjini las vegas january 13, 2018 na kuanzia hapo amekuwa akienda kinyume na makubaliano na uongozi wake. kwa mujibu wa maelezo ya eric many, staa huyo wa nigeria amekuwa akirekodi singles na album bila ridhaa ya lebo yake. si hivyo tu, pia amekuwa akitumbuiza maeneo mbali mbali na kuchukua viingilio bila ruhusa na ridhaa ya lebo yake. hii ni kwa mujibu wa kifungu namba 4.41 cha mkataba wake. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 20 March

Rapa Diddy ametokea kwenye Cover ya jarida la GQ kwa toleo la mwezi April.

Nguli huyo wa muziki wa Hip Hop duniani, alipata nafasi ya kutujuza mengi ikiwemo kutaja list yake ya wasanii ambao anawakubali.

#Diddy aliwataja Kendrick Lamar, Drake, SZA, Jay-Z, Nas, Migos, Lil Baby na Future.

#InfoHDNews
0 163 16 hours ago
Trending: 20 march rapa diddy ametokea kwenye cover ya jarida la gq kwa toleo la mwezi april. nguli huyo wa muziki wa hip hop duniani, alipata nafasi ya kutujuza mengi ikiwemo kutaja list yake ya wasanii ambao anawakubali. #diddy aliwataja kendrick lamar, drake, sza, jay-z, nas, migos, lil baby na future. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 20 March

Rapa Meek Mill ameitaka Mahakama ya mjini Pennsylvania kufanya hesabu hizi rahisi... Dirty Cop + Biased Judge = My Freedom.

Akiwa na maana ya wamshughulikie Askari (Reginald Graham) + Jaji (Genece Brinkley) = Ili apate Uhuru wake.

Mawakili wa #MeekMill jana Jumatatu walituma ombi la mteja wao kupata Dhamana wakati akisubiria kusikiliza rufaa yake, April 16, 2018.

#InfoHDNews
0 167 18 hours ago
Trending: 20 march rapa meek mill ameitaka mahakama ya mjini pennsylvania kufanya hesabu hizi rahisi... dirty cop + biased judge = my freedom. akiwa na maana ya wamshughulikie askari (reginald graham) + jaji (genece brinkley) = ili apate uhuru wake. mawakili wa #meekmill jana jumatatu walituma ombi la mteja wao kupata dhamana wakati akisubiria kusikiliza rufaa yake, april 16, 2018. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 20 March

Trey Songz ameianza wiki hii vibaya, ni baada ya kuwasili kituo cha polisi Jana Jumatatu kujisalimisha.

Hii inakuja baada ya Mwanamke mmoja kumtuhumu Mwimbaji huyo wa Marekani kuwa, alimtukana na kumpiga kwenye wikendi ya NBA All - Star.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa #TreySongz aliwasili idara ya polisi mjini Los Angeles akiwa na Mwanasheria wake Shawn Holley, na kufunguliwa shtaka (domestic violence), lakini aliachiwa baada ya kulipa $50,000.

#InfoHDNews
0 162 19 hours ago
Trending: 20 march trey songz ameianza wiki hii vibaya, ni baada ya kuwasili kituo cha polisi jana jumatatu kujisalimisha. hii inakuja baada ya mwanamke mmoja kumtuhumu mwimbaji huyo wa marekani kuwa, alimtukana na kumpiga kwenye wikendi ya nba all - star. mtandao wa tmz umeripoti kuwa #treysongz aliwasili idara ya polisi mjini los angeles akiwa na mwanasheria wake shawn holley, na kufunguliwa shtaka (domestic violence), lakini aliachiwa baada ya kulipa $50,000. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 20 March

Diddy na Jay-Z wameungana kufanya mradi mkubwa kwa ajili ya kusaidia biashara za Watu Weusi duniani.

Rapa huyo tajiri duniani, ametoa Exclusive hiyo kwenye jarida la GQ na kusema kuwa, kwa kushirikiana na Jay-Z, wana mpango wa kutengeneza
6 380 20 hours ago
Trending: 20 march diddy na jay-z wameungana kufanya mradi mkubwa kwa ajili ya kusaidia biashara za watu weusi duniani. rapa huyo tajiri duniani, ametoa exclusive hiyo kwenye jarida la gq na kusema kuwa, kwa kushirikiana na jay-z, wana mpango wa kutengeneza "application" maalum kwa ajili ya kusaidia watu weusi kufanya biashara mbali na makampuni makubwa duniani. - " this is not about taking away from any other community. we’ll still go to chinatown. we’ll still buy gucci!" alisema diddy na kuendelea, - “but the application will make it possible for us to have an economic community. it’s about blacks gaining economic power.” alimaliza diddy. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 19 March

Wakati wasanii wengi wakiwa na ndoto za kusafiri kwenda Nje ya Afrika kufanya videos, kwa Upande wa Wizkid iko tofauti.

Nyota huyo wa muziki Afrika ametangaza rasmi kutofanya tena video zake nje ya Afrika, na zile video zote ambazo tayari amezifanya akiwa Los Angeles, hatozitoa tena!
-
“I just decided one day that I don’t want to shoot any of my videos abroad anymore. I just wanna shoot everything in Africa so all of the videos I shot when I was in LA, I’m not using them anymore.” - alisema #Wizkid kwenye mahojiano na kituo cha redio cha The Beat 99.9 FM.

#InfoHDNews
1 116 Yesterday
Trending: 19 march wakati wasanii wengi wakiwa na ndoto za kusafiri kwenda nje ya afrika kufanya videos, kwa upande wa wizkid iko tofauti. nyota huyo wa muziki afrika ametangaza rasmi kutofanya tena video zake nje ya afrika, na zile video zote ambazo tayari amezifanya akiwa los angeles, hatozitoa tena! - “i just decided one day that i don’t want to shoot any of my videos abroad anymore. i just wanna shoot everything in africa so all of the videos i shot when i was in la, i’m not using them anymore.” - alisema #wizkid kwenye mahojiano na kituo cha redio cha the beat 99.9 fm. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 18 March

Russell Simmons amekanusha vikali tuhuma za Ubakaji na Unyanyasi wa kingono kwa Wanawake ambazo zinamkabili kwa sasa.

Mkongwe huyo kwenye Industry ya Muziki nchini Marekani ambaye pia ni moja ya Waanzilishi wa Lebo ya Def Jam Records, alifunguliwa mashtaka mwezi December mwaka jana na baadhi ya wanawake wakidai kufanyiwa vitendo vya Ukatili wa Kingono.

Mpaka muda huu, tayari Wanawake 12 wamejitokeza na kumtuhumu #RussellSimmons.

#InfoHDNews
0 81 2 days ago
Trending: 18 march russell simmons amekanusha vikali tuhuma za ubakaji na unyanyasi wa kingono kwa wanawake ambazo zinamkabili kwa sasa. mkongwe huyo kwenye industry ya muziki nchini marekani ambaye pia ni moja ya waanzilishi wa lebo ya def jam records, alifunguliwa mashtaka mwezi december mwaka jana na baadhi ya wanawake wakidai kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kingono. mpaka muda huu, tayari wanawake 12 wamejitokeza na kumtuhumu #russellsimmons. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 18 March

Rapa #FettyWap na mchumba wake #LezhaeZeona wamepata mtoto wa Kiume.

Mtoto huyu anakamilisha idadi ya watoto Saba kwa Rapa huyo aliyepata Umaarufu kupitia wimbo wake 'Trap Queen' mwaka 2015.

Mtoto wake wa Kwanza anaitwa Aydin Zoovier, alizaliwa May 1, 2011  na mpenzi wake wa utotoni Ariel Reese. Wa pili anaitwa  Eliza Zaviera alizaliwa  March 13, 2015 na Lezhae Zeona.

Wa Tatu anaitwa Khari Barbie, alizaliwa March 29, 2016 na video vixen Masika Kalysha. Mtoto wa Wanne anaitwa Amani, alizaliwa April 26, 2016 na Elaynna Parker.

Wa Tano anaitwa Lauren alizaliwa 2016 na Mnenguaji Turquoise Miami.

Wa Sita anaitwa Alaiya, alizaliwa kabla ya Muda wake (prematurely) mwezi January 2018 na ex-girlfriend wake, Alexis Skyy.

#InfoHDNews
16 411 2 days ago
Trending: 18 march rapa #fettywap na mchumba wake #lezhaezeona wamepata mtoto wa kiume. mtoto huyu anakamilisha idadi ya watoto saba kwa rapa huyo aliyepata umaarufu kupitia wimbo wake 'trap queen' mwaka 2015. mtoto wake wa kwanza anaitwa aydin zoovier, alizaliwa may 1, 2011 na mpenzi wake wa utotoni ariel reese. wa pili anaitwa eliza zaviera alizaliwa march 13, 2015 na lezhae zeona. wa tatu anaitwa khari barbie, alizaliwa march 29, 2016 na video v***n masika kalysha. mtoto wa wanne anaitwa amani, alizaliwa april 26, 2016 na elaynna parker. wa tano anaitwa lauren alizaliwa 2016 na mnenguaji turquoise miami. wa sita anaitwa alaiya, alizaliwa kabla ya muda wake (prematurely) mwezi january 2018 na ex-girlfriend wake, alexis skyy. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 18 March

Mwanamuziki ambaye anachipukia kwa kasi nchini Nigeria, Alo Innas ametoa tuhuma nzito dhidi ya Mkali wa muziki Afrika Wizkid kupitia mtandao wa Snapchat. Chipukizi huyo amedai kuwa WizKid ana kaburi ndani ya nyumba yake.

Kama utakumbuka mwezi Mei mwaka jana, Wizkid alitangaza kupitia Snapchat kwa kutudokeza uwezekano wa kuongeza msanii kwenye lebo yake ya Star Boy baada ya kupost video ya Alo Innas akisaini mkataba.

Lakini hivi karibuni, #Wizkid alimtangaza rasmi msanii mwingine Terry Ryn kujiunga na lebo hiyo, Mashabiki waliingia hofu juu ya Alo Innas.

Sasa kupitia mahojiano na Redio moja wiki hii, Alo Innas aliulizwa kwanini haupo kwenye lebo ya Wizkid? Alitoa jibu ambalo limeshangaza wengi. Mwimbaji huyo alisema,
-
4 228 2 days ago
Trending: 18 march mwanamuziki ambaye anachipukia kwa kasi nchini nigeria, alo innas ametoa tuhuma nzito dhidi ya mkali wa muziki afrika wizkid kupitia mtandao wa snapchat. chipukizi huyo amedai kuwa wizkid ana kaburi ndani ya nyumba yake. kama utakumbuka mwezi mei mwaka jana, wizkid alitangaza kupitia snapchat kwa kutudokeza uwezekano wa kuongeza msanii kwenye lebo yake ya star boy baada ya kupost video ya alo innas akisaini mkataba. lakini hivi karibuni, #wizkid alimtangaza rasmi msanii mwingine terry ryn kujiunga na lebo hiyo, mashabiki waliingia hofu juu ya alo innas. sasa kupitia mahojiano na redio moja wiki hii, alo innas aliulizwa kwanini haupo kwenye lebo ya wizkid? alitoa jibu ambalo limeshangaza wengi. mwimbaji huyo alisema, - "wizkid ana kaburi ndani ya nyumba yake ambalo hulifuata kabla ya kumsaini msanii. na alinisaini mimi [alo] baada ya kuambiwa na mizimu yake juu ya utukufu wangu."- alisema alo na aliikimbia nyumba hiyo ya wizkid kwasababu ya hofu pamoja na imani yake ya kidini. wizkid amejibu tuhuma hizi kupitia tweeter, kwa kuandika "alo innas asingeweza kujihatarisha" (swipe kushoto kuona tweet ya wizkid) - #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 18 March

Hakuna anayebisha kwamba 'Black Panther' ni filamu bora kabisa mpaka sasa kwa mwaka 2018. Kuanzia Utayarishaji wake mpaka Malipo kwa Wahusika ulikuwa wa kiwango kikubwa.

Kijana Seth Carr mwenye Umri wa Miaka 10, ambaye alicheza uhusika wa Utoto (Young Killmonger) wa Muigizaji Michael B. Jordan (Killmonger), alilipwa kiasi cha dola $1,000 (Sawa na Tsh. 2M+) kwa siku wakati wa Utayarishaji wa Filamu hiyo.

Hii ni kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ ambao wameudaka mkataba wake, Unaambiwa japo haifahamiki idadi ya siku alizocheza filamu hiyo, lakini pesa taslimu inayokadiriwa kulipwa ni $7,654 (Sawa na Tsh. 17M+)
.

#InfoHDNews
1 258 2 days ago
Trending: 18 march hakuna anayebisha kwamba 'black panther' ni filamu bora kabisa mpaka sasa kwa mwaka 2018. kuanzia utayarishaji wake mpaka malipo kwa wahusika ulikuwa wa kiwango kikubwa. kijana seth carr mwenye umri wa miaka 10, ambaye alicheza uhusika wa utoto (young killmonger) wa muigizaji michael b. jordan (killmonger), alilipwa kiasi cha dola $1,000 (sawa na tsh. 2m+) kwa siku wakati wa utayarishaji wa filamu hiyo. hii ni kwa mujibu wa mtandao wa tmz ambao wameudaka mkataba wake, unaambiwa japo haifahamiki idadi ya siku alizocheza filamu hiyo, lakini pesa taslimu inayokadiriwa kulipwa ni $7,654 (sawa na tsh. 17m+) . #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 18 March

Mei 4 mwaka 2017, Headlines kubwa za burudani duniani zilitawala jina la French Montana baada ya kuchangia $100k (Zaidi ya Tsh. Milioni 200) kwenye kituo cha Afya cha Suubi nchini Uganda.

Si Rapa Montana tu, kwani Diddy na The Weeknd pia walitia mkono mkubwa kwenye kampeni hiyo ilyobatizwa jina la #UnforgettableChallenge

Sasa Good News ni kuwa, Hospitali hiyo inayotoa huduma ya Mama na Mtoto, imeanza kufanya kazi na inahudumia Wanachi Laki Tatu.

#InfoHDNews
0 218 2 days ago
Trending: 18 march mei 4 mwaka 2017, headlines kubwa za burudani duniani zilitawala jina la french montana baada ya kuchangia $100k (zaidi ya tsh. milioni 200) kwenye kituo cha afya cha suubi nchini uganda. si rapa montana tu, kwani diddy na the weeknd pia walitia mkono mkubwa kwenye kampeni hiyo ilyobatizwa jina la #unforgettablechallenge sasa good news ni kuwa, hospitali hiyo inayotoa huduma ya mama na mtoto, imeanza kufanya kazi na inahudumia wanachi laki tatu. #infohdnews
fans_of_hotjerry

@fans_of_hotjerry

fans_of_hotjerry
#Repost @info_hd (@get_repost)
・・・
Trending: 17 March

@Mbosso_ amewataja wasanii wa Kenya ambao anawakubali.
📷 By: @msetoea x @sameerbry

#InfoHDNews
0 5 2 days ago
#repost @info_hd (@get_repost ) ・・・ trending: 17 march @mbosso_ amewataja wasanii wa kenya ambao anawakubali. 📷 by: @msetoea x @sameerbry #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 17 March

@Mbosso_ amewataja wasanii wa Kenya ambao anawakubali.
📷 By: @msetoea x @sameerbry

#InfoHDNews
0 97 3 days ago
Trending: 17 march @mbosso_ amewataja wasanii wa kenya ambao anawakubali. 📷 by: @msetoea x @sameerbry #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 17 March

Ex wa Nicki Minaj, Rapa Safaree Samuels ameweka wazi hisia zake na kuelezea ilivyokuwa siku ambayo #NickiMinaj alichapwa 'Kiss' na Nas kwenye Video ya 'Right By My Side' ambayo alishirikishwa pia Chris Brown mwaka 2012.

Akizungumza kupitia Episode ya 'Easily Offended' kwenye moja ya Podcast, Safaree alifunguka kuhusu Busu hilo na jinsi lilivyo Muumiza.
-
1 163 3 days ago
Trending: 17 march ex wa nicki minaj, rapa safaree samuels ameweka wazi hisia zake na kuelezea ilivyokuwa siku ambayo #nickiminaj alichapwa 'kiss' na nas kwenye video ya 'right by my side' ambayo alishirikishwa pia chris brown mwaka 2012. akizungumza kupitia episode ya 'easily offended' kwenye moja ya podcast, safaree alifunguka kuhusu busu hilo na jinsi lilivyo muumiza. - "nilikuwepo siku ya kufanya video ile, unataka kujua kipi kilitokea? sikufahamu kama kitendo kile kilitokea mpaka video ilipokuja kutoka." alisema safaree. - "siwezi kudanganya, niliumia sana kwa kitendo walichofanya. kabla ya hapo niliwahi kuwa mtu poa tu kwake, nilimpongeza [nicki] hata baada ya kumkalia drake mapajani, au kucheza na lil wayne, niliona ni upendo tu. lakini kwa hili la #nas, nilikuwa pale siku nzima lakini sikuona wakati kitendo kile kinafanyika. nikabaki kujilaumu kwamba nilikwenda wapi? nakumbuka nilitoka kama saa moja hivi, nafikiri ndio wakafanya 'scene' ile. bado linaniumiza."- alimaliza #safaree ambaye penzi lake na queen huyo wa hip hop lilimalizika mwaka 2014. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 17 March

Rapa #LloydBanks atengua kauli yake ya kuachana na Muziki.
(Rudi post zilizopita kuipata vizuri stori hii)
-

#InfoHDNews
3 107 3 days ago
Trending: 17 march rapa #lloydbanks atengua kauli yake ya kuachana na muziki. (rudi post zilizopita kuipata vizuri stori hii) - #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 16 March

Drake huenda akatokea kwenye album mpya ya Kanye West kwa sababu kuna USHAHIDI mkubwa wa picha umeonekana kuwa Drake yupo mjini Wyoming.

Info hizi zimekuja baada ya Mpiga picha maalum wa Drake, Theo Skudra ku-share picha ya mandhari kwenye IG Stories yake ambayo imefanana kimazingira na ile aliyo-share Kim Kardashian ambaye tayari pia amewasili Magharibi huko mwa Marekani.
(SWIPE kushoto kucheki picha hiyo)
-
Baadhi ya wakali wa muziki kama: Travis Scott, The Dream, Nas, Kid Cudi na baadhi ya Watayarishaji wameungana na #KanyeWest kwenye Milima hiyo kwa ajili ya kuitengenza album hiyo.

Kama picha hizo za Skudra zina ukweli kwamba #Drake yupo huko, basi album hiyo ya Kanye itakuwa sio ya mchezo mchezo.

#InfoHDNews
0 182 4 days ago
Trending: 16 march drake huenda akatokea kwenye album mpya ya kanye west kwa sababu kuna ushahidi mkubwa wa picha umeonekana kuwa drake yupo mjini wyoming. info hizi zimekuja baada ya mpiga picha maalum wa drake, theo skudra ku-share picha ya mandhari kwenye ig stories yake ambayo imefanana kimazingira na ile aliyo-share kim kardashian ambaye tayari pia amewasili magharibi huko mwa marekani. (swipe kushoto kucheki picha hiyo) - baadhi ya wakali wa muziki kama: travis scott, the dream, nas, kid cudi na baadhi ya watayarishaji wameungana na #kanyewest kwenye milima hiyo kwa ajili ya kuitengenza album hiyo. kama picha hizo za skudra zina ukweli kwamba #drake yupo huko, basi album hiyo ya kanye itakuwa sio ya mchezo mchezo. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 16 March

Snoop Dogg ameiachia rasmi album yake
1 193 4 days ago
Trending: 16 march snoop dogg ameiachia rasmi album yake "bible of love" ya kwanza ya muziki wa injili. #snoopdogg ambaye tayari amefanya albums 15 za hip hop, alitangaza rasmi kuachana na muziki wa dunia na kuhamia kwenye injili 'gospel'. (swipe kushoto kuona wasanii walioshirikishwa kwenye album hiyo) - #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Info Net: 16 March

#AzealiaBanks aweka Bifu kando, ampongeza #CardiB kwa kuwa mjamzito! 😊
-
#InfoHDNews
0 139 4 days ago
Info net: 16 march #azealiabanks aweka bifu kando, ampongeza #cardib kwa kuwa mjamzito! 😊 - #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 16 March

Baada ya kuitumikia Game ya Hip Hop kwa miaka 19, Rapa wa Marekani na memba wa G-Unit, #LloydBanks ametangaza rasmi kuacha muziki.

Swipe kushoto kucheki Tweets zake akitangaza Info hiyo.

#InfoHDNews
5 219 4 days ago
Trending: 16 march baada ya kuitumikia game ya hip hop kwa miaka 19, rapa wa marekani na memba wa g-unit, #lloydbanks ametangaza rasmi kuacha muziki. swipe kushoto kucheki tweets zake akitangaza info hiyo. #infohdnews
info_hd

@info_hd

Your Number #1 Source
Trending: 16 March

Baada ya Chris Brown kumpiga Rihanna mwaka 2009, dunia nzima ililipuka kwa nyuso za hasira hasa Jumuiya za Wanawake zikilaani vikali kitendo hicho.

Sasa ni miaka 9 imepita, lakini hasira za Wanawake juu ya Ukatili ule bado zinaendelea na imebaki kama doa kwa Chris Brown.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mrembo #KendallJenner, amejikuta akiwashiwa moto na mashabiki zake kwa kukaa karibu na #ChrisBrown kwenye video mpya ya muziki 'Freaky Friday' ya rapa Lil Dicky, huku wengi wakimwambia akae mbali na mtu huyo ambaye anawanyanyasa Wanawake.
-
3 315 4 days ago
Trending: 16 march baada ya chris brown kumpiga rihanna mwaka 2009, dunia nzima ililipuka kwa nyuso za hasira hasa jumuiya za wanawake zikilaani vikali kitendo hicho. sasa ni miaka 9 imepita, lakini hasira za wanawake juu ya ukatili ule bado zinaendelea na imebaki kama doa kwa chris brown. kupitia ukurasa wa twitter wa mrembo #kendalljenner, amejikuta akiwashiwa moto na mashabiki zake kwa kukaa karibu na #chrisbrown kwenye video mpya ya muziki 'freaky friday' ya rapa lil dicky, huku wengi wakimwambia akae mbali na mtu huyo ambaye anawanyanyasa wanawake. - "please tell me you’re not supporting chris brown." aliandika shabiki mmoja kwenye twitter baada ya kendall ku-share video hiyo. mwingine aliandika, “girl, please don’t support an abuser.”- - #infohdnews