Loading...

@nahelezegreat77

nahelezegreat77
Kutokutoa #Maamuzi nao ni #Uamuzii ...
#Buddahboss_Nahele💪
#locknene🔒🔒 Uckunimwema ndugu......👌
0 7 2 weeks ago
Kutokutoa #maamuzi nao ni #uamuzii ...
#buddahboss_nahele💪
#locknene🔒🔒 uckunimwema ndugu......👌

@kelvinkibenje

kelvinkibenje
Mambo kumi yatakayokufanya uwe Bora zaidi.
Hayahitaji #mtaji wala #pesa ni #maamuzi na #muda wako tu.

#skills #softskills #softskillstrainer
0 56 3 weeks ago
Mambo kumi yatakayokufanya uwe bora zaidi.
hayahitaji #mtaji wala #pesa ni #maamuzi na #muda wako tu.

#skills #softskills #softskillstrainer

@uzaziwangu

uzaziwangu
Uti huzaa PID na PID huzaa ugumba#maamuzi yako ndio tiba yako
0 8 3 weeks ago
Uti huzaa pid na pid huzaa ugumba#maamuzi yako ndio tiba yako

@abbaswawa994

abbaswawa994
#Maamuzi yako ndio Maisha yako. Asili ya furaha ya kweli au huzuni indani mwa mtu.
0 40 4 weeks ago
#maamuzi yako ndio maisha yako. asili ya furaha ya kweli au huzuni indani mwa mtu.

@hossy_brown__charles

hossy_brown__charles
Usifurahie SHIDA za watu #maamuzi tu!!!
0 8 last month
Usifurahie shida za watu #maamuzi tu!!!

@ms_getrude

ms_getrude
Ni kwa watu wangapi #Utajieleza? 
Ni watu  wangapi utawahimiza vitu wanavyovijua au #walivyosikia kuhusu wewe si vya kweli? 
Kwa mda gani utafanya maamuzi ili kuwapendezesha watu? 
Chaai, Natamani kuvaa hivi!, Natamani kwenda kule!, Natamani kusema hivi #Lakini watasemaje kuhusu mimi?
Ivi unajua watu hawahitaji #Ruhusa yako kufanya kile wanachotaka kufanya? Sasa kwanini wewe unawapa ruhusa ya kukufanyia #Maamuzi?.
#WeOnlyLiveOnce
8 371 last month
Ni kwa watu wangapi #utajieleza?
ni watu wangapi utawahimiza vitu wanavyovijua au #walivyosikia kuhusu wewe si vya kweli?
kwa mda gani utafanya maamuzi ili kuwapendezesha watu?
chaai, natamani kuvaa hivi!, natamani kwenda kule!, natamani kusema hivi #lakini watasemaje kuhusu mimi?
ivi unajua watu hawahitaji #ruhusa yako kufanya kile wanachotaka kufanya? sasa kwanini wewe unawapa ruhusa ya kukufanyia #maamuzi?.
#weonlyliveonce

@mtoto__wa__istagram__

mtoto__wa__istagram__
#KESHO ITAFIKA LEO
#KESHO IMEISHA JANA
#MAAMUZI YA LEO NI YA JANA
NA MATOKEO YA LEO NI #KESHO  KILA NDOTO NI SAFARI YENYE #CHANGAMOTO  #_MTU_MAKINI  #_OFFICIAL_CANNAH_
1 41 last month
#kesho itafika leo
#kesho imeisha jana
#maamuzi ya leo ni ya jana
na matokeo ya leo ni #kesho kila ndoto ni safari yenye #changamoto #_mtu_makini #_official_cannah_

@baraka_baladiga

baraka_baladiga
#KIJANAMWENZANGU 
#maamuzi ndio hubadili kila kitu. Sio zile story unazopiga kijiweni mtu wangu. Kumbuka hata kasuku ana mdomo pia.
#Elewa hautaweza fika popote pale endapo utasubiri ruhusa ya kila mtu. Wapo wanaokuchukia hata Kama haufanyi kitu chochote kile chanya. 
#KUJIPENDA ni kitu cha bure kabisa jikubali hivyo ulivyo inatosha sana
#KUMBUKA historia yako haina uhusiano na #future yako Kama upo teyari kuibadili anza sasa. 
#JIFUNZE KUWAHESHIMU WATU,  HALAFU JIFUNZE PIA KUTOKUWAOGOPA WATU. 
#KUBALI mtu pekee wa kubadili maisha yako ni wewe mwenyewe. 
#buildurEMPIRE
0 43 last month
#kijanamwenzangu
#maamuzi ndio hubadili kila kitu. sio zile story unazopiga kijiweni mtu wangu. kumbuka hata kasuku ana mdomo pia.
#elewa hautaweza fika popote pale endapo utasubiri ruhusa ya kila mtu. wapo wanaokuchukia hata kama haufanyi kitu chochote kile chanya.
#kujipenda ni kitu cha bure kabisa jikubali hivyo ulivyo inatosha sana
#kumbuka historia yako haina uhusiano na #future yako kama upo teyari kuibadili anza sasa.
#jifunze kuwaheshimu watu, halafu jifunze pia kutokuwaogopa watu.
#kubali mtu pekee wa kubadili maisha yako ni wewe mwenyewe.
#buildurempire

@amynatk

amynatk
#

#Maamuzi#

@carloskirimbai barikiwa kwa ujumbe mzuri
0 4 October 2018
#
#maamuzi#
@carloskirimbai barikiwa kwa ujumbe mzuri

@khelefhamis2015

khelefhamis2015
Namshukuru #MUNGU Sasa Nipo Sehemu #Salama Ni Kufanya #Maamuzi Sahihi Pia #Nisirudi Nilipotoka... #Uaminifu, #Ukweli & #Upendo Ndio #Silaha Ya #Penzi La #Dhati....
0 10 October 2018
Namshukuru #mungu sasa nipo sehemu #salama ni kufanya #maamuzi sahihi pia #nisirudi nilipotoka... #uaminifu, #ukweli & #upendo ndio #silaha ya #penzi la #dhati.... """""""""""""""""""#kinyoko #kimenyokoka"""""""""""""""""""""

@davidfelician_tz

davidfelician_tz
*Habari za Hivi punde*

Kamati ya Maadili IRFA imemfungia Mwenyekiti wa LIPULI FC Ndugu *Ramadhan Mahano* kutojihusisha na masuala ya mpira wa Miguu kwa muda wa miaka mitano.

#Kamati ya Maadili IRFA
#Maamuzi ya kamati
0 62 September 2018
*habari za hivi punde*

kamati ya maadili irfa imemfungia mwenyekiti wa lipuli fc ndugu *ramadhan mahano* kutojihusisha na masuala ya mpira wa miguu kwa muda wa miaka mitano.

#kamati ya maadili irfa
#maamuzi ya kamati

@_ishengoma

_ishengoma
Wakati mwingine maishani tunapitia raha,starehe,changamoto zinazoturudisha nyuma hata kutuachia makovu yasiyofutika kirahisi maishani.
📌Unapopitia hayo haimaanishi u mwema ama mbaya sana mbele za Mungu na binadamu, ama una bahati nzuri/mbaya kuliko wengine....
📌Bali mara nyingi hutokana na #maamuzi tuyafanyayo.
✏Kuna maamuzi tufanyayo ni sawa na kusubiri #embedodochiniyamnazi
✏Japo kuna maamuzi tuyafanyayo hutuletea matokeo sawia na matarajio yetu.
📌Katika kila tulifanyalo akili, hekima, busara na hisia kwa kiasi zituongoze katika kufanya #maamuzi sahihi yatakayotuletea kesho isiyo na majuto yaliyokithiri.
#kuwanaamani #amanihuanzianyumbani  #peacebeginsinthehome
5 208 September 2018
Wakati mwingine maishani tunapitia raha,starehe,changamoto zinazoturudisha nyuma hata kutuachia makovu yasiyofutika kirahisi maishani.
📌unapopitia hayo haimaanishi u mwema ama mbaya sana mbele za mungu na binadamu, ama una bahati nzuri/mbaya kuliko wengine....
📌bali mara nyingi hutokana na #maamuzi tuyafanyayo.
✏kuna maamuzi tufanyayo ni sawa na kusubiri #embedodochiniyamnazi ✏japo kuna maamuzi tuyafanyayo hutuletea matokeo sawia na matarajio yetu.
📌katika kila tulifanyalo akili, hekima, busara na hisia kwa kiasi zituongoze katika kufanya #maamuzi sahihi yatakayotuletea kesho isiyo na majuto yaliyokithiri.
#kuwanaamani #amanihuanzianyumbani #peacebeginsinthehome

@entre_tech_solutions

entre_tech_solutions
Mtu/Mwanaume anakuwa wa hali ya juu/mkubwa pale tu anapofanya mambo yake kutokana na shauku aliyonayo.
Shauku ndio kila kitu.

Je una shauku katika unachokifanya?
.
----------------------------------------------------------------------------
Passion is everything.
Do you have passion on your work/action?
3 34 March 2018
Mtu/mwanaume anakuwa wa hali ya juu/mkubwa pale tu anapofanya mambo yake kutokana na shauku aliyonayo.
shauku ndio kila kitu.

je una shauku katika unachokifanya?
.
----------------------------------------------------------------------------
passion is everything.
do you have passion on your work/action?