Loading...

diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ The Rolls Royce Musician From Africa|Founder & Managing Director of Wasafi Limited / Wasafi Media & Zoom Production Company |[email protected] https://youtu.be/w8eUTOYrkDM
7,293 posts
5.68m followers
789 following
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Tunapenda Kutoa Shukrani Zetu za Dhati kwa #ZSSF @ZSSFinsta Mfuko wa Jamii Zanzibar Kwa kuwa Sehemu ya Wawezeshaji Wetu Wakubwa wa Mapinduzi ya Burudani #WasafiFestival2018 Zanzibar 
Pongezi Zaidi Kwa Kuendelea Kuwasaidia Vijana Mbalimbali Katika Shughuli za Kijamii na Tunaomba Muendelee Kuwekeza Zaidi Katika Upande Huo Kwani Vijana ni Nguvu Kazi ya Taifa Ambayo Inategemewa Zaidi Hapo Baadae

Tunayo Furaha Kubwa Kabisa Kushirikiana nanyi Katika Hili na Kupitia Sanaa, Basi Mtaweza Kuwafikia Vijana Wengi na Kwa Haraka Zaidi

Endelea kusikiliza @WasafiFM 88.9 Mhz kutoka #MnaraWaMbao Zanzibar kuangalia @WasafiTV Kwa Info Zaidi Kuhusu #WasafiFestival2018 itayofanyika Kesho katika Uwanja wa AMANI...!! #ZSSF @zsssfinsta @zssfinsta

#WasafiFestival2018 #MchezoUsiuchezeeWewe #Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #WasafiFM #KaaKitaalam #KonkiKonkiKonkiMasta
357 9,712 1 hour ago
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa #zssf @zssfinsta mfuko wa jamii zanzibar kwa kuwa sehemu ya wawezeshaji wetu wakubwa wa mapinduzi ya burudani #wasafifestival2018 zanzibar
pongezi zaidi kwa kuendelea kuwasaidia vijana mbalimbali katika shughuli za kijamii na tunaomba muendelee kuwekeza zaidi katika upande huo kwani vijana ni nguvu kazi ya taifa ambayo inategemewa zaidi hapo baadae

tunayo furaha kubwa kabisa kushirikiana nanyi katika hili na kupitia sanaa, basi mtaweza kuwafikia vijana wengi na kwa haraka zaidi

endelea kusikiliza @wasafifm 88.9 mhz kutoka #mnarawambao zanzibar kuangalia @wasafitv kwa info zaidi kuhusu #wasafifestival2018 itayofanyika kesho katika uwanja wa amani...!! #zssf @zsssfinsta @zssfinsta

#wasafifestival2018 #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #wasafifm #kaakitaalam #konkikonkikonkimasta
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
ZANZIBAR!!!! ZANZIBAR!!!! Panapo Majaaliwa Kesho Asubuhi Chama Zima la Wana na Wasanii wote wa #WasafiFestival2018 tunatua Kisiwani... Halaf Usiku huo huo wa Kesho tunakuwa na V.I.P POOL PARTY pale CHAZA BEACH CLUB....yani tunagonga @pepsi_tz @officialbelaire huku Tunaogelea..... Kiingilio  15,000 tu, Halaf Jumanne ya Tareh 11 /12 Wote wakubwa kwa watoto Tunakutana UWANJA WA AMANI Kushuhudia Balaa la #WasafiFestival2018 
#MchezoUsiuchezeeWewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
703 20,628 11 hours ago
Zanzibar!!!! zanzibar!!!! panapo majaaliwa kesho asubuhi chama zima la wana na wasanii wote wa #wasafifestival2018 tunatua kisiwani... halaf usiku huo huo wa kesho tunakuwa na v.i.p pool party pale chaza beach club....yani tunagonga @pepsi_tz @officialbelaire huku tunaogelea..... kiingilio 15,000 tu, halaf jumanne ya tareh 11 /12 wote wakubwa kwa watoto tunakutana uwanja wa amani kushuhudia balaa la #wasafifestival2018
#mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Hakika Mchezo Usiuchezee....SUMBAWANGA Mmenishinda Tabia jamani­čśů­čśů @rayvanny  @mbosso_ .....ZANZIBAR!!! ZANZIBAR!!! Tukutane Uwanja wa AMANI siku ya  JUMANNE ya Kesho kutwa tateh 11 / 12 /  2018...!!!!
#WasafiFestival2018
#MchezoUsiuchezeeWewe
#Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa
7,851 48,404 14 hours ago
Hakika mchezo usiuchezee....sumbawanga mmenishinda tabia jamani­čśů­čśů @rayvanny @mbosso_ .....zanzibar!!! zanzibar!!! tukutane uwanja wa amani siku ya jumanne ya kesho kutwa tateh 11 / 12 / 2018...!!!!
#wasafifestival2018 #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
WE ARE GOING TO THE STADIUM NOW!!!!!!.....SUMBAWANGA!!! SUMBAWANGA!!!! HAYA TUKUTANE NELSON MANDELA STADIUM SASA.....!!!!!! NA ROUND HII HATA INYESHE TUNANYESHA NAYO!!!! #WasafiFestival2018
#MchezoUsiuchezeeWewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
1,275 47,732 17 hours ago
We are going to the stadium now!!!!!!.....sumbawanga!!! sumbawanga!!!! haya tukutane nelson mandela stadium sasa.....!!!!!! na round hii hata inyeshe tunanyesha nayo!!!! #wasafifestival2018 #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
WE COULDN'T PERFORM LAST NIGHT BECAUSE OF THE RAIN, THE WHOLE MUSIC SYSTEAM & LIGHTS GOT FUCKED... BUT I PROMISED MY PEOPLE  I DO THE FREE SHOW TODAY....AND AM GONNA DO IT NOW.....AM ON MY WAY TO THE STADIUM NOW!!!!!....
SUMBAWANGA!!!! SUMBAWANGA!!! kutokana na Mvua kubwa jana Mziki na Taa zikazingua na  kutoweza kuperform kabisa... Ila niliwaahidi nitaperform Leo Bure kabisa Uwanjani!!! na NITAPERFORM KWELI!!! TUKUTANE UWANJA WA MANDELA MUDA HUU WANANGU WA SUMBAWANGA!!!!!
725 26,146 17 hours ago
We couldn't perform last night because of the rain, the whole music systeam & lights got fucked... but i promised my people i do the free show today....and am gonna do it now.....am on my way to the stadium now!!!!!....
sumbawanga!!!! sumbawanga!!! kutokana na mvua kubwa jana mziki na taa zikazingua na kutoweza kuperform kabisa... ila niliwaahidi nitaperform leo bure kabisa uwanjani!!! na nitaperform kweli!!! tukutane uwanja wa mandela muda huu wanangu wa sumbawanga!!!!!
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Kwa Mara ya Kwanza katika Ukursasa takatifu wa kijamii wa IKULU @ikulu_mawasiliano leo wana sanaa tumeweza kuekwa.... Hii ni faraja na inamaana kubwa sana kwa Vijana na Tasnia nzima ya sanaa... Lakini kupitia hii post itufunze kuwa tukizidi kutumia sanaa zetu katika mambo chanya basi Serikali itazidi kutusapoti na kuhakikisha kazi zetu zinalindwa kwa ukubwa, na kupewa thamani na kipaumbele zaidi......Asante Mh Rais John Pombe Magufuli,  Asante Ikulu, Asante Serikali yetu ya Awamu ya Tano, Asante Bongo Fleva­čÖĆ­čĆ╗
#ThisIsNewBongoFleva
Maana halisi ya #MapinduziYaBurudani ­čÖĆ­čĆ╗
@ikulu_mawasiliano @ikulu_mawasiliano
922 30,309 19 hours ago
Kwa mara ya kwanza katika ukursasa takatifu wa kijamii wa ikulu @ikulu_mawasiliano leo wana sanaa tumeweza kuekwa.... hii ni faraja na inamaana kubwa sana kwa vijana na tasnia nzima ya sanaa... lakini kupitia hii post itufunze kuwa tukizidi kutumia sanaa zetu katika mambo chanya basi serikali itazidi kutusapoti na kuhakikisha kazi zetu zinalindwa kwa ukubwa, na kupewa thamani na kipaumbele zaidi......asante mh rais john pombe magufuli, asante ikulu, asante serikali yetu ya awamu ya tano, asante bongo fleva­čÖĆ­čĆ╗
#thisisnewbongofleva maana halisi ya #mapinduziyaburudani ­čÖĆ­čĆ╗
@ikulu_mawasiliano @ikulu_mawasiliano
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
SUMBAWANGA!!!! TUKUTANE UWANJA WA NELSON MANDELA MUDA HUU!!!!......NAWAKUMBUSHA SHOW SAA MOJA KAMILI USIKU MWISHO..... SAA 10 KAMILI JIONI NIKO JUU YA STAGE... !!!! Hakikisha Familia, Watoto na wasaidizi wa nyumbani wote leo waje kufurahia #WasafiFestival2018 ... Kumbuka Kiingilio ni Buuuuuuuuureeeeeeeeeeeeeeeee..!!!! @wasafitv @wasafifm @wcb_wasafi 
#MchezoUsiuchezeeWewe
#Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa
376 14,495 21 hours ago
Sumbawanga!!!! tukutane uwanja wa nelson mandela muda huu!!!!......nawakumbusha show saa moja kamili usiku mwisho..... saa 10 kamili jioni niko juu ya stage... !!!! hakikisha familia, watoto na wasaidizi wa nyumbani wote leo waje kufurahia #wasafifestival2018 ... kumbuka kiingilio ni buuuuuuuuureeeeeeeeeeeeeeeee..!!!! @wasafitv @wasafifm @wcb_wasafi
#mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Wengi, Hawakunielewa kwanini Your My Favorite Rapper..!!! na Wakastaajabu kabisa kuona eti Diamond kaacha Wanigeria kamshirikisha @youngkillermsodokii kwenye PAMELA.... Hawakukiona Nilichokiona Ndani YaKo....NOW kupitia #WasafiFestival2018 THEY SEE!!!
SUMBAWANGA!!!! SUMBAWANGA!! nimewaahidi na tunafanya Hivyo, kuanzia saa sita njoo na familia Nzima #WasafiFestival2018 leo inafanyika BUUUUUURE Pale Viwanja vya NELSON MANDELA... kuanzia saa sita MCHANA hadi saa MOJA usiku MWISHO!!!!... Tunaimba na KUCHEZA ngoma ZOTE!!! @WasafiTv @WasafiFM
#HawaaminiWanachoKiona
#ShilingiImepinduka
#BichwaLimekuwaMwenge
#MchezoUsiuchezeeWewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
.

PROUDLY SPONSORED BY:
@Pepsi_tz @Resolutioninsurancetz @Supa_5 @ZSSFinsta @DiamondKaranga @Most_hired_international @Startimestz @wcb_Wasafi @MBet.co.tz @Kili_lager @CrystalCaveznz @DCBbanktz @GSMtanzania  #WasafiMedia
787 25,470 22 hours ago
Wengi, hawakunielewa kwanini your my favorite rapper..!!! na wakastaajabu kabisa kuona eti diamond kaacha wanigeria kamshirikisha @youngkillermsodokii kwenye pamela.... hawakukiona nilichokiona ndani yako....now kupitia #wasafifestival2018 they see!!!
sumbawanga!!!! sumbawanga!! nimewaahidi na tunafanya hivyo, kuanzia saa sita njoo na familia nzima #wasafifestival2018 leo inafanyika buuuuuure pale viwanja vya nelson mandela... kuanzia saa sita mchana hadi saa moja usiku mwisho!!!!... tunaimba na kucheza ngoma zote!!! @wasafitv @wasafifm
#hawaaminiwanachokiona #shilingiimepinduka #bichwalimekuwamwenge #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaabisa .

proudly sponsored by:
@pepsi_tz @resolutioninsurancetz @supa_5 @zssfinsta @diamondkaranga @most_hired_international @startimestz @wcb_wasafi @mbet.co.tz @kili_lager @crystalcaveznz @dcbbanktz @gsmtanzania  #wasafimedia
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Kwanza Niwashukuru sana Kwa Mapenzi yenu Mizito juu yetu na #WasafiFestival2018 .....Upendo mliouonesha jana ni Mkubwa sana... na poleni kwa Mvua iliotokea hadi kupelekea mimi na baadhi ya wasanii kutoweza Kuperform....ila kwa kuthamni Sapoti na Upendo wenu juu yetu Leo kuanzia saa sita Kamili Mchana, tutakuwa pale uwanja wa NELSON MANDELA Kuimba na Kucheza na wewe.....Na ikinyesha tunanyesha nayo!!! Mxiiiiiiiiiiiew!!! ...Halafu kubwa zaidi HAKUNA KIINGILIO.... YANI KIINGILIO BUUUUUUUUUREEEEEEEEEEEE...!!!!! Njoo na familia nzima baba mama watoto, wote Tukutane Nelson Mandela kuanzia saa sita Mchana SUMBAWANGA!!!!
#HawaaminiWanachoKiona
#MchezoUsiuchezeeWewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
1,188 31,275 22 hours ago
Kwanza niwashukuru sana kwa mapenzi yenu mizito juu yetu na #wasafifestival2018 .....upendo mliouonesha jana ni mkubwa sana... na poleni kwa mvua iliotokea hadi kupelekea mimi na baadhi ya wasanii kutoweza kuperform....ila kwa kuthamni sapoti na upendo wenu juu yetu leo kuanzia saa sita kamili mchana, tutakuwa pale uwanja wa nelson mandela kuimba na kucheza na wewe.....na ikinyesha tunanyesha nayo!!! mxiiiiiiiiiiiew!!! ...halafu kubwa zaidi hakuna kiingilio.... yani kiingilio buuuuuuuuureeeeeeeeeeee...!!!!! njoo na familia nzima baba mama watoto, wote tukutane nelson mandela kuanzia saa sita mchana sumbawanga!!!!
#hawaaminiwanachokiona #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
Kama Hujalipia King'amuzi Chako cha STARTIMEZ wahi kulipia sasa ili uweze kuitazama @WasafiFestival #SUMBAWANGA LIVE mwanzo mwisho kwenye @WasafiTV kupitia @startimestz . Na yale mambo ya #LipaTukubusti yanazidi kunoga yani. Lipia NYOTA kwa Tsh 8000 tu ubustiwe hadi MAMBO (Kwa watumiaji wa Antenna) au NYOTA kwa Tsh 11,000 tu ubustiwe hadi SMART (kwa watumiaji wa Dish)
@startimestz @startimestz

#lipatukubusti #LipaTukubusti #startimesONapp
473 20,706 Yesterday
Kama hujalipia king'amuzi chako cha startimez wahi kulipia sasa ili uweze kuitazama @wasafifestival #sumbawanga live mwanzo mwisho kwenye @wasafitv kupitia @startimestz . na yale mambo ya #lipatukubusti yanazidi kunoga yani. lipia nyota kwa tsh 8000 tu ubustiwe hadi mambo (kwa watumiaji wa antenna) au nyota kwa tsh 11,000 tu ubustiwe hadi smart (kwa watumiaji wa dish)
@startimestz @startimestz

#lipatukubusti #lipatukubusti #startimesonapp
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
SUMBAWANGA SUMBAWANGA SUMBAWANGA !

Historia Itaandikwa Leo  Kwenye Uwanja wa NELSON MANDELA Mapemaaaaaa ­čöą

Ndugu Zetu wa SWAX Ticket za Kuja kushuhudia Mapinduzi ya Burudani #WasafiFestival2018  Zinapatikana katika vituo Vifuatavyo !! ­čĹç

CHANJI SOKO KUU STAND KUU YA MABASI, SABABA NELSON MANDELA STADIUM

PROUDLY SPONSORED BY : @Pepsi_tz @Resolutioninsurancetz @Supa_5 @ZSSFinsta @DiamondKaranga @Most_hired_international @startimestz @wcb_wasafi @DCBbanktz @GSMtanzania @kili_lager @mbet.co.tz  #WasafiMedia

#HakunaNamna #HawaaminiWanachokiona #SanaaImezaliwaUpya

#WasafiFestival2018 #MchezoUsiuchezeeWewe #Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #WasafiFM #KaaKitaalam #konkikonkikonkimasta
307 9,124 Yesterday
Sumbawanga sumbawanga sumbawanga !

historia itaandikwa leo kwenye uwanja wa nelson mandela mapemaaaaaa ­čöą

ndugu zetu wa swax ticket za kuja kushuhudia mapinduzi ya burudani #wasafifestival2018 zinapatikana katika vituo vifuatavyo !! ­čĹç

chanji soko kuu stand kuu ya mabasi, sababa nelson mandela stadium

proudly sponsored by : @pepsi_tz @resolutioninsurancetz @supa_5 @zssfinsta @diamondkaranga @most_hired_international @startimestz @wcb_wasafi @dcbbanktz @gsmtanzania @kili_lager @mbet.co.tz  #wasafimedia
#hakunanamna #hawaaminiwanachokiona #sanaaimezaliwaupya
#wasafifestival2018 #mchezousiuchezeewewe #kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #wasafifm #kaakitaalam #konkikonkikonkimasta
diamondplatnumz

@diamondplatnumz

Chibu Evara....­čĹ«‍ÔÖé´ŞĆ
ZANZIBAR!!! ZANZIBAR!!!! Kutokana na Maombi makubwa ya kila Mwana Zanzibar Kutaka Kuhudhuria Hivyo imebidi tuamishe Venue Kutoa Viwanja wa Kariakoo na Hivyo #WasafiFestival2018 Kufanyika katika Uwanja wa AMANI KARUME!!!! ili watu waweze walau kutosha..... kwakuwa kila mtu anataka kuja kushuhudia kMapinduzi Ya Burudani hivyo Kiingilio kitakuwa kama Ifuatavyo....
WATOTO: 2,000
WAKUBWA: 5,000
V.I.P : 15,000
Na kwa Furaha nikwambie kuwa Maji ya CRYSTAL CAVE ndio maji pekee ambayo tumeyapitisha na ndio maji Pekee  tutayatumia tukiwa ZANZIBAR!!! ­čĹő­čĆ╝
@wasafitv @wasafifm
#MchezoUsiuchezeeWewe 
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
463 19,700 Yesterday
Zanzibar!!! zanzibar!!!! kutokana na maombi makubwa ya kila mwana zanzibar kutaka kuhudhuria hivyo imebidi tuamishe venue kutoa viwanja wa kariakoo na hivyo #wasafifestival2018 kufanyika katika uwanja wa amani karume!!!! ili watu waweze walau kutosha..... kwakuwa kila mtu anataka kuja kushuhudia kmapinduzi ya burudani hivyo kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo....
watoto: 2,000
wakubwa: 5,000
v.i.p : 15,000
na kwa furaha nikwambie kuwa maji ya crystal cave ndio maji pekee ambayo tumeyapitisha na ndio maji pekee tutayatumia tukiwa zanzibar!!! ­čĹő­čĆ╝
@wasafitv @wasafifm
#mchezousiuchezeewewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa